Nyimbo Za Kristo
Nakala ya nyimbo za ibada za waadventista wasabato kwa lugha ya kiswahili.
Podrobnosti O Aplikaci
Advertisement
Popis Aplikace
Analýza A Revize Aplikací Pro Android: Nyimbo Za Kristo, Vyvinuté Společností Awesomecode Tanzania. Uvedeno V Kategorii Knihy A Referenční Materiály. Aktuální Verze Je 2 . 3 . 8, Aktualizována Na 01/05/2025 . Podle Recenzí Uživatelů Na Google Play: Nyimbo Za Kristo. Dosaženo Více Než 136 Tisíc Instalací. Nyimbo Za Kristo Má V Současné Době Recenze 678, Průměrné Hodnocení 4.8 Hvězd
Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili jako kilivyohaririwa na kuchapwa ADVENTA na TANZENT).Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.
Sifa za program ani kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa bledá unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (díky hymnserve.com za
doprovody).
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Program hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva a Godfrey Diva kwa
utukufu wa Mungu.
V Současné Době Nabízíme Verzi 2 . 3 . 8. Toto Je Naše Nejnovější, Nejvíce Optimalizovaná Verze. Je Vhodný Pro Mnoho Různých Zařízení. Zdarma Ke Stažení Přímo Apk Z Obchodu Google Play Nebo Jiných Verzí, Které Hostujeme. Kromě Toho Si Můžete Stáhnout Bez Registrace A Bez Nutnosti Přihlášení.
Máme Více Než 2000+ K Dispozici Zařízení Pro Samsung, Xiaomi, Huawei, Oppo, Vivo, Motorola, LG, Google, OnePlus, Sony, Tablet ... S Tolika Možnostmi, Je Pro Vás Snadné Vybrat Si Hry Nebo Software, Který Odpovídá Vašemu Zařízení.
Může Se Hodit, Pokud Existují Nějaká Omezení Země Nebo Omezení Ze Strany Zařízení V Obchodě Google App Store.
Changelog / Co Je Nového
Imeongeza namba kutoka kitabu kikubwa