Tenzi Za Rohoni

kitabu kinachojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 za kumuabudu na kumtukuza Mungu.

Lietotne


2 . 2 . 1
Android 4.1+
Everyone
1,588,281
Advertisement

Lietotnes Apraksts


Android Lietotņu Analīze Un Pārskats: Tenzi Za Rohoni, Izstrādājusi Awesomecode Tanzania. Uzskaitīts Grāmatas Un Uzziņas Kategorijā. Pašreizējā Versija Ir 2 . 2 . 1, Atjaunināta 11.-22. Saskaņā Ar Lietotāju Pārskatiem Vietnē Google Play: Tenzi Za Rohoni. Sasniegts Vairāk Nekā 2 Miljons Instalācijas. Tenzi Za Rohoni Pašlaik Ir 5 Tūkstoš Atsauksmes, Vidējais Vērtējums 4.9 Zvaigznes

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nymbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programmu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za programma ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (pateicoties hymnserve.com par
pavadījumi).

• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.


• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza vai kuwezesha uono usioumiza macho.
Pašlaik Mēs Piedāvājam 2 . 2 . 1 Versiju. Šī Ir Mūsu Jaunākā, Optimizētākā Versija. Tas Ir Piemērots Daudzām Dažādām Ierīcēm. Bezmaksas Lejupielāde Tieši Apk No Google Play Veikala Vai Citām Versijām, Kuras Mēs Mitinām. Turklāt Jūs Varat Lejupielādēt Bez Reģistrācijas Un Nav Nepieciešama Pieteikšanās.

Mums Ir Vairāk Nekā 2000+ Pieejamās Ierīces Samsung, Xiaomi, Huawei, Oppo, Vivo, Motorola, LG, Google, OnePlus, Sony, Tablet ... Ar Tik Daudzām Iespējām, Jums Ir Viegli Izvēlēties Spēles Vai Programmatūru, Kas Atbilst Jūsu Ierīcei.

Tas Var Noderēt, Ja Ir Kādi Valsts Ierobežojumi Vai Kādi Ierobežojumi No Jūsu Ierīces Puses Google App Store.

Changelog / Kas Jauns


-Imeongeza ufanisi.

Rate and review on Google Play store


4.9
5,417 Kopsumma
5 5,006
4 164
3 246
2 0
1 0

Jums Var Patikt Arī Šīs Lietotnes