SAMIA App
Be close to the President of Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan by following events
App info
Advertisement
App description
Android App Analysis and Review: SAMIA App, Developed by CCM TEHAMA. Listed in Productivity Category. Current Version Is 1.1.9, Updated On 12/04/2025 . According to users reviews on Google Play: SAMIA App. Achieved Over 12 thousand Installs. SAMIA App Currently Has 1 Reviews, Average Rating 5.0 Stars
ni program tumizi inayomsaidia mwananchi wa Tanzania pamoja na Waliopo nje ya Nchi kupata habari na matukio mbalimbali yanayohusu Nchi yake pamoja na Rais wake wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia programu tumizi hii mwananchi atapata fursa ya kushiriki kwenye maudhui mbalimbali pamoja na matukio yanayoendelea kwenye taifa letu la Tanzania.Aidha kupitia Samia App kuna Moduli mbalimbali zikiwemo Habari na Matukio, Simulizi, Balozi wa Samia, Samia Jamii, Samia Room, Wasifu wa Samia, Makala, Maoni, Shiriki Kwenye Ilani, Kero ambapo kupitia Samia App mwananchi atakuwa na uwezo wa Kutuma na Kufatilia Kero yake kupitia Simu yake ya Kiganjani.
We are currently offering version 1.1.9. This is our latest, most optimized version. It is suitable for many different devices. Free download directly apk from the Google Play Store or other versions we're hosting. Moreover, you can download without registration and no login required.
We have more than 2000+ available devices for Samsung, Xiaomi, Huawei, Oppo, Vivo, Motorola, LG, Google, OnePlus, Sony, Tablet ... with so many options, it’s easy for you to choose games or software that fit your device.
It can come in handy if there are any country restrictions or any restrictions from the side of your device on the Google App Store.
What's New
*Habari na Matukio mbalimbali kuhusu Maendeleo ya Tanzania
*Shiriki Kutoa maoni kwenye ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2030
*Shiriki Mashindano mbalimbali kwenye Balozi wa Samia kwa kusambaza na kulike taarifa za matukio ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
*Mjue Samia kwa kusikiliza wasifu wake, ziara, Hotuba mbalimbali za matukio ya kila siku
*Kuwa wa kwanza kutuma taarifa za maendeleo kwenye eneo lako uoneshe namna serikali ya awamu ya Sita inavyoleta maendeleo kwa wananchi wake.