
Dala Ujenzi
Bauen Sie jetzt ein Haus für Ihre Ziele, indem Sie 12,5% der Kosten eines Hauses zahlen.
App Info
Advertisement
App Beschreibung
Android -App -Analyse Und -Übersicht: Dala Ujenzi, Entwickelt Von dala. In Der Kategorie Haus & Garten Aufgeführt. Die Aktuelle Version Ist 1.2.1, Aktualisiert Unter 26/08/2022 . Laut Benutzern Bewertungen Auf Google Play: Dala Ujenzi. Über 691 -Installationen Erreicht. Dala Ujenzi Hat Derzeit 1 Bewertungen, Durchschnittliche Bewertung 5.0 Stars
Jenga nyumba ya malengo yako sasa kwa kulipa 12,5% ya gharama ya nyumba. Pia fanya ukarabati wa nyumba au malizia ujenzi kwa kulipa 1 mil tu na gharama inayobaki utalipa mpaka kwa miaka 20.UJENZI WANYUMBA
Ukilipa 12,5 % ya gharama ya ujenzi wa nyumba, unajengewa kuanzia msingi mpaka finnishing alafu utalipa kiasi kilichobaki mpaka kwa miaka 20.
-Chukulia mfano wa nyumba inayo gharimu 50.000.000 /=.
*Nyumba inayogharimu 50.000.000/= utajengewa kuanzia msingi mpaka Finishing ukilipa 6.250.000/= sawasawa na 12,5 % ya gharama ya ujenzi.
*Utalipa 250.000/= Sawa Sawa na 0,53 % ya gharama ya ujenzi kila mwezi kwa miezi 24, au utalipa garama yote kwa pamoja.
*Baada ya kukamilisha malo ya 6.250.000/= tutakuongezea 43.000.000/= ili kutimiza gharama za ujenzi ambazo ni 50.000.000/= na utajengewa nyumba kuanzia msingi mpaka finishing, na ujenzi ukiisha utahamia kwenye.nyumba ya.nyumba
*Ukishahamia kwenye nyumba yako ndipo utakapo lipa 43.750.000/= ulioongezewa kwaajili ya ujenzi wa nyumba yako kidogo kidogo kwa mda wa mpaka miaka 25 au utalipa kwa mkupuo.
*Tutakusaidia kuuza nyumba yako pamoja na deni lililobaki kwa ndani ya siku 90, ambapo utarudishiwa pesa uliyotumia kununua kiwanja na ujenzi, pamoja na faida.
UKARABATI WA NYUMBA
Fanya ukarabati, ongeza vyumba, badili mwonekano wa nyumba, na malizia ujenzi. Kwa ukarabati unao gharimu 20 mil mpaka 1 bil, ukilipa 1 mil, tunakufanyia ukarabati alafu gharama iliyobaki utalipa kwa miaka 20.
*Kiasi cha milioni 1 (Dar es Salaam) mpaka milioni 1 na nusu (kwa mkoani), utalipa kwaajili ya huduma ya ukarabati. Gharama iyo itahusisha sisi kutembelea nyumba yako inayoitaji ukarabati, kutengeneza mchoro na mpango wa ukarabati kama itahitajika.
*Lipa 1 mil/ 1,5 mil kidogo kidogo kwa mda wa mpaka mwaka mmoja, au lipa kwa mkupuo.
*Baada ya kufanya mallipo ya 1 mil/ 1,5 mil, na kupata mpango wa ukarabati, tutakuongezea kuanzia 20 mil mpaka 1 bil kulingana na mahitaji ya ukarabati wa nyumba yako.
*Baada ya ukarabati kukamilika, utalipa kiasi ulichoongezewa kwaajili ya ukarabati kidogo kidogo kwa muda wa mpaka miaka 25 au utalipa kwa mkupuo.
Wir Bieten Derzeit Version 1.2.1 An. Dies Ist Unsere Neueste, Optimierteste Version. Es Ist Für Viele Verschiedene Geräte Geeignet. Kostenloser Download Direkt Apk Aus Dem Google Play Store Oder Anderen Versionen, Die Wir Hosten. Darüber Hinaus Können Sie Ohne Anmeldung Und Ohne Anmeldung Herunterladen.
Wir Haben Mehr Als 2000+ Verfügbare Geräte Für Samsung, Xiaomi, Huawei, Oppo, Vivo, Motorola, LG, Google, OnePlus, Sony, Tablet ... Mit So Vielen Optionen, Dass Sie Spiele Oder Software, Die Zu Ihrem Gerät Passen, Einfach Sind.
Es Kann Nützlich Sein, Wenn Es Im Google App Store Eine Beschränkung Des Landes Oder Beschränkungen Von Der Seite Ihres Geräts Gibt.
Bewerten Und Überprüfung Im Google Play Store
Gesamtzahl Der Installationen (*Geschätzt)
Schätzung Der Gesamtzahl Der Installationen In Google Play, Approximiert Von Der Anzahl Der Bewertungen Und Installationsgrenzen, Die Bei Google Play Erreicht Werden.Sie Können Diese Apps Auch Mögen
- 2024-07-24Tiny Builders: Kids' App Game
- 2025-01-12Construction Calculator A1 Pro
- 2025-06-27Designer City: building game
- 2025-07-03Contractor Foreman (CMS + CRM)
- 2025-07-08PlanRadar Construction Manager
- 2025-03-14Duuabl: repair & home services
- 2025-03-05Buildforce: Construction Jobs
- 2025-05-29Ezelogs Construction Software