
Kitabu cha Swala na kuswali
Haya ni mafunzo ya swala na namna ya kuswali katika uislamu.
App info
Advertisement
App description
Android App Analysis and Review: Kitabu cha Swala na kuswali, Developed by BONGOCLASS. Listed in Books & reference Category. Current Version Is 1.0.0, Updated On 20/11/2024 . According to users reviews on Google Play: Kitabu cha Swala na kuswali. Achieved Over 92 thousand Installs. Kitabu cha Swala na kuswali Currently Has 69 Reviews, Average Rating 4.7 Stars
Hiki ni kitabu kitakachokupa mafunzo ya swala, namna ya kuswali kama alivyoswali Mtume Muhammad (s.a.w) na masahaba zake.Utajifunza:-
1. Jinsi ya kutia udhu
2. Kuondoa najisi
3. kuoga na kujitwaharisha
4. Sharti za swala
5. Nguzo za Swala
6. Dua za kwenye swala
7. tahiyatu
8. Swala ya Mtume
9. Dua baada ya swala
10. Yanayoharibu swala
11. Sunnah za swala
Kama utaona kuna makosa yeyote ya kiuadhishi ama kifahamu, tafadhali wasiiana nasi.
We are currently offering version 1.0.0. This is our latest, most optimized version. It is suitable for many different devices. Free download directly apk from the Google Play Store or other versions we're hosting. Moreover, you can download without registration and no login required.
We have more than 2000+ available devices for Samsung, Xiaomi, Huawei, Oppo, Vivo, Motorola, LG, Google, OnePlus, Sony, Tablet ... with so many options, it’s easy for you to choose games or software that fit your device.
It can come in handy if there are any country restrictions or any restrictions from the side of your device on the Google App Store.