Sala na Maombi ya Kweli

Sala na Maombi ya Kweli

Jiweke Karibu na Mungu Kupitia Sala, Ibada na Maombi Yenye Mafanikio Kiroho

App info


9.8
November 14, 2024
41,444
Everyone
Get Sala na Maombi ya Kweli for Free on Google Play

Advertisement

App description


Android App Analysis and Review: Sala na Maombi ya Kweli, Developed by Sachatech Ltd. Listed in Health & fitness Category. Current Version Is 9.8, Updated On 14/11/2024 . According to users reviews on Google Play: Sala na Maombi ya Kweli. Achieved Over 41 thousand Installs. Sala na Maombi ya Kweli Currently Has 1 Reviews, Average Rating 5.0 Stars

Jiunge na maelfu ya Wakristo ulimwenguni wenye uzoefu mkubwa wa Imani iliyo ya kweli katika kukuza na kuendeleza Imani yako katika Kristo kwa kutumia App hii.

App hii inakuweza/itakuwezesha kufanya yafuatayo;

1. Kujifunza namna njema ya kusali/kuomba sala/maombi yenye mafanikio katika maisha yako ikiwepo kuombea mambo mbalimbali kama vile:-
✔Ndoa/Mahusiano
✔Kazi
✔Msamaha
✔Masuala ya kifedha
✔Uponyaji
✔Nguvu za giza na mengine mengi.

2. Kujifunza visa mbalimbali vya Biblia vitakavyoweza kukusaidia kukua kiroho na kiimani.

3. Kujifunza unabii na maana ya aya/mafungu mafungu katika Biblia.

4. Kujifunza mafundisho mbalimbali ndani ya Biblia kama vile:-
✔Uponyaji
✔Upendo
✔Msamaha
✔Ufufuo
✔Ndoa/Mahusiano
✔Imani nakadhalika

5. Kujifunza namna ya kufanya ibada inayokubalika mbele za Mungu.

Mbali na hayo yote App hii inakupatia/itakupatia nafasi ya kupata nyimbo zote za vitabuni (nyimba za ibada) kama vile:-
✔Nyimbo za Injili
✔Tenzi za Rohoni
✔Nyimbo za Wokovu
✔Nyimbo za Ibada
✔Mwimbieni Bwana
✔Nyimbo za Kristo
✔Nyimbo za Imani Yetu
✔Nyimbo za Wasanii Mbalimbali

VIPENGELE MUHIMU KATIKA APP HII;
1. Sala na Maombi
2. Ibada Kila Siku
3. Visa vya Biblia
4. Gunduzi Muhimu
5. Unabii
6. Nyimbo za Ibada
7. Mafundisho ya Biblia

NOTE: App hii ni mahususi na maalum kwa Wakristo wote ulimwenguni. Pakua App hii na ujifunze ukuu wa Mungu katika maisha yako ya kila siku.
We are currently offering version 9.8. This is our latest, most optimized version. It is suitable for many different devices. Free download directly apk from the Google Play Store or other versions we're hosting. Moreover, you can download without registration and no login required.

We have more than 2000+ available devices for Samsung, Xiaomi, Huawei, Oppo, Vivo, Motorola, LG, Google, OnePlus, Sony, Tablet ... with so many options, it’s easy for you to choose games or software that fit your device.

It can come in handy if there are any country restrictions or any restrictions from the side of your device on the Google App Store.

What's New


Maombi na Sala
Mafundisho ya Biblia
Masomo na Mahubiri

Rate and review on Google Play store


5.0
1 total
5 0
4 0
3 0
2 0
1 0

Total number of installs (*estimated)

Estimation of total number of installs on Google Play, Approximated from number of ratings and install bounds achieved on Google Play.