MWINYI App
Zanzibar ya Uchumi wa Buluu.
App info
Advertisement
App description
Android App Analysis and Review: MWINYI App, Developed by CCM TEHAMA. Listed in News & magazines Category. Current Version Is 1.0.3, Updated On 11/07/2025 . According to users reviews on Google Play: MWINYI App. Achieved Over 570 Installs. MWINYI App Currently Has 1 Reviews, Average Rating 5.0 Stars
Karibu Mwinyi App programu ya simu janja yenye taarifa muhimu kuhusu maendeleo na fursa mbalimbali ya Zanzibar.Programu hii inamsaidia mwananchi wa Zanzibar pamoja na watu waliopo nje ya nchi mfano. Diaspora kupata Habari na matukio mbalimbali yanayohusu nchi yake pamoja na Rais Dr. Hussein Ali Mwinyi. Vilevile kupitia program tumizi ya Mwinyi App mwananchi atapata fursa ya kushiriki kwenye maudhui mbalimbali Pamoja na matukio yanayoendelea nchini.
Mwinyi App imebeba module mbalimbali na kila moduli imebeba dhumuni lake, Module hizo ni Habari na Matukioa, Wasifu wa Mwinyi, Mwinyi Balozi, Ilani, Survey/Maoni, Mwinyi jamii, Mwinyi Room vile vile utapata kusikiliza na kutazama masimulizi mbalimbali, Makala, Ziara za Dr. Mwinyi ndani na nje ya Nchi Pamoja na Hotuba.
We are currently offering version 1.0.3. This is our latest, most optimized version. It is suitable for many different devices. Free download directly apk from the Google Play Store or other versions we're hosting. Moreover, you can download without registration and no login required.
We have more than 2000+ available devices for Samsung, Xiaomi, Huawei, Oppo, Vivo, Motorola, LG, Google, OnePlus, Sony, Tablet ... with so many options, it’s easy for you to choose games or software that fit your device.
It can come in handy if there are any country restrictions or any restrictions from the side of your device on the Google App Store.
What's New
*Habari na Matukio mbalimbali kuhusu Maendeleo ya Zanzibar
*Shiriki Kutoa maoni kwenye ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2030
*Shiriki Mashindano mbalimbali kwenye Balozi wa Mwinyi kwa kusambaza na kupenda taarifa za matukio ya Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi
*Mjue Rais wa Zanzibar kwa kusikiliza wasifu wake, ziara, Hotuba mbalimbali za matukio ya kila siku
*Kuwa wa kwanza kutuma taarifa za maendeleo kwenye eneo lako uoneshe namna serikali ya Zanzibar inavyoleta maendeleo kwa wananchi wake.